myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
maisha ni safari..
Me tangu umeanza nafikiri ila daah!Loh, nimeanza nao muda lkn bila dah,kila naemuhisi mara anajitokeza kucomment,dah
Jamaa anatutesa sana. Yaan watu tunafikiri hadi vichwa vinauma.Me tangu umeanza nafikiri ila daah!
Hahahhaha haki kbs, ila kwani yy anaishi mji mkuu?andjul hebu kuja huku kwanza kuna mtu anatafutwa isijekuwa ni wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]we si ndo mkewe unanoulizaje mimi jamani?Hahahhaha haki kbs, ila kwani yy anaishi mji mkuu?
Hahhaha sawa bhana ila yy hayuko mji mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]we si ndo mkewe unanoulizaje mimi jamani?
Yeye hayuko mji mkuu bhana
Nimemuona mahali[emoji23][emoji23][emoji23]kakaa kwenye kona anapiga chaboHahhaha sawa bhana ila yy hayuko mji mkuu.
Mwambie aje ajibu tuhuma,usikute ndio yy hahahahahNimemuona mahali[emoji23][emoji23][emoji23]kakaa kwenye kona anapiga chabo
Code ngumu halafu mhusika mwenye uzi maringo tele baasi kazi tupuMe hata hizo hisia sina,subiri niendelee kusoma labda naweza pata hisia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi ona code ngumu kama zaleo walah!
Yaan anaboa, sijui anafanya siri gani. Mie hapa hadi hamu ya kutukana itaisha.Code ngumu halafu mhusika mwenye uzi maringo tele baasi kazi tupu
Ngoja nimsake[emoji23][emoji23]Mwambie aje ajibu tuhuma,usikute ndio yy hahahahah
Loh, nimeanza nao muda lkn bila dah,kila naemuhisi mara anajitokeza kucomment,dah
Mlete, maana leo wote walioadimika humu ndio wanaohisiwa[emoji12] [emoji12]Ngoja nimsake[emoji23][emoji23]
Bilionea wa maparachichi njoo huku[emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351]