Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaan kbs hata hakukuwa na haja ya kuleta uzi huu. Mamtu mengine sijui yakoje arrrghhhh.
[emoji23][emoji23][emoji23]leo tumenyooshwa acha tu

Ila on a serious note;humu ndani ni kuwa makini tu mana si kila king'aacho ni dhahabu na siku zoye za kuambiwa changanya na zako.
Kwa kiasi fulani mtoa mada nimemuelewa,humu ndani si kila mtu ni mzuri ama mbaya kikubwa ni kumsoma mwenzio uliyekutana naye sio unaamua tu leo mmekutana kesho una mpa gigy money aka konokono,mara paap mnaoana mwisho wa siku ndo majanga kama haya...
 
Mama weeee yaan mm hilo wala huna haja ya kusema,.somo nikishalipata. Kwani lile tahira nililijuaje hadi na id zake mbili.
Humu ni pa kuja ku buy time tu na kurefresh mind.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]leo tumenyooshwa acha tu

Ila on a serious note;humu ndani ni kuwa makini tu mana si kila king'aacho ni dhahabu na siku zoye za kuambiwa changanya na zako.
Kwa kiasi fulani mtoa mada nimemuelewa,humu ndani si kila mtu ni mzuri ama mbaya kikubwa ni kumsoma mwenzio uliyekutana naye sio unaamua tu leo mmekutana kesho una mpa gigy money aka konokono,mara paap mnaoana mwisho wa siku ndo majanga kama haya...
Kabisa sio kila parachichi la kutengenezea juisi,mengine ya kuweka steming kichwan,kusugulia kasura kawe mororo. Yaan hapa ni akili za kuambiwa changanya na zako
 
andjul hebu kuja huku kwanza kuna mtu anatafutwa isijekuwa ni wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji137] [emoji137] [emoji137] Nipo hukuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenituma nishuhudie,milango sio ya matete kama nyumba za Rufiji... Code za kufungulia zimetupwa baharini
 
Acha kabisa yaani leo hadi kichwa kinauma aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Umbea utanipeleka pabaya sana,code ngumu kama nini sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Nifungulie mlango naja.....
 
Back
Top Bottom