myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mlio nyumbani
Ilibaki kodogo tu nikuhisi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unabahati sanaJamaniiiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Parachichi hili hili ninalo zunguka nalo kuwapa/kuwauzia watu lina kazi zote hizo? Jamani jamani jamaniiii parachichi langu itabidi nilitunze sana.Kabisa sio kila parachichi la kutengenezea juisi,mengine ya kuweka steming kichwan,kusugulia kasura kawe mororo. Yaan hapa ni akili za kuambiwa changanya na zako
Wengine wamefika na wengine bado wapo njiani wanawahi viti vya mbele ili wahesabiwewale wa kaskazini tayari au wako njiani...
Kabisazimebaki siku chache...
Karibu mamaanguAcha kabisa yaani leo hadi kichwa kinauma aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Umbea utanipeleka pabaya sana,code ngumu kama nini sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Nifungulie mlango naja.....
Nikipata mdada wa kunimwagia mihela nitamheshimu sana.Yaani nitakuwa nachepuka kwa siri hadi macho yangu yatakuwa hayamjui hata ninae chepuka nae.Bora umekuja manake tulishaanza kuhisi ndio ww uliesababisha mdada akataka kujiua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiIlibaki kodogo tu nikuhisi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unabahati sana