Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Atletico Madrid wako tayari kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, kwenda Manchester United baada ya kuiripoti Barcelona kwa Fifa kuhusu madai ya klabu hiyo ya kutaka saini ya mchezaji huyo kinyume na sheria. (Daily Mirror)
 
Newcastle United imejiunga katika harakati za kumsajili beki wa Chelsea David Luiz katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari , lakini inataka kumchukua mchezaji huyo wa Brazil kwa mkopo (Shields Gazette)
 
Kwema sana si wajua siku yenye ubuyu inapunguza makali ya kuisoma namba,za huko?
Aisee alivyo niita carba wacha nitoke nduki kwenda kupanga foleni...
Mara paaap nakuona mbele yangu,ile nijifiche kwenye kona carba huyooo ile nianze kutimua mimbio uso kwa uso na Nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itabidi tumuombe mzee wa liver utafanyie uhakiki pale hospitali
 
96997b4114169715e7799cdeffc262f8.jpg

Vyuma vimekaza. Dictator on fire.
Mwafa
 
Back
Top Bottom