Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahhahaa mzee wa liver asije kudakwa akidhaniwa ni mr smartAisee alivyo niita carba wacha nitoke nduki kwenda kupanga foleni...
Mara paaap nakuona mbele yangu,ile nijifiche kwenye kona carba huyooo ile nianze kutimua mimbio uso kwa uso na Nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itabidi tumuombe mzee wa liver utafanyie uhakiki pale hospitali