cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ukiona hivyo si umwelekeze afanye unavyotaka? Utakausha wee halafu ukitoka hapo ndo maneno kibao. Mengine huwa mnajitakia tu...
Pokea likesUkiona hivyo si umwelekeze afanye unavyotaka? Utakausha wee halafu ukitoka hapo ndo maneno kibao. Mengine huwa mnajitakia tu...
Sawa mkuuNacheza karata
Kula likeKwa nini mkuu?
Tukienda ni Hispania real madridWewe ni Timu gani huko europe
PokeaKiboko cha deni ni kukata roho tu. Unalikwepa kwa ulainiiii...
Na nani? Unacheza mchezo gani?Nacheza karata
WanaenjoyDah! Rock City Mall wamejaa watoto balaa
Uondo uondoKwanini siku inahisha haraka uwiiiiiii
Uondo
Pamoja mkuu weka post nigonge nyundo ya likeKichwa Kichafu. Nakuona kaka.
Kula Like za kutosha
Wanainjoy Eid. Ngoja sie tuinjoy Like za EidWanaenjoy
Mrs 50k za eid
Wewe je?Wewe ni Timu gani huko europe
Asante mkuu. Na wewe pokea za kutosha!Pokea likes
Pokea likes toa likeHapa ni mwendo wa kitwanga za kumwaga.