cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Post hiyo hapo. Nipeni sasa.Pamoja mkuu weka post nigonge nyundo ya like
Tayari zamani sana like imepitaPost hiyo hapo. Nipeni sasa.
Napoa Like Za Eid Hapa.
Mi nipo tu maana huu uenyekiti wangu huku kibiti na pambana kweli.Nipo poa nimeshibaaaaaa
Na wewe?
Pamoja mkuuAsante mkuu. Na wewe pokea za kutosha!
Shoki shoki hey dance for meDance with me
Mi nipo tu maana huu uenyekiti wangu huku kibiti na pambana kweli.
Leo kesi za mitafaruku zimejaa hapa ofisi kibiti[emoji23] [emoji23]
HahahahahSTRESS NI NINI?;
Stress ni pale unsubiria ajira tangu 2014 hujapata halafu unakuja kupangiwa Kibiti.
Hapo lazima uimbe ule wimbo wa Darasa RUDI UTOTONI USIPOTEMBEA UTABEBWA MGONGONI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Like youLike me
Nimekukubali [emoji23] [emoji23] [emoji85]Kiboko cha deni ni kukata roho tu. Unalikwepa kwa ulainiiii...
Pamoja mkuuWanainjoy Eid. Ngoja sie tuinjoy Like za Eid
Tupo tuende wapi
WanakujaNatoa Like kama Karanga. Nani nimpe