Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Macho yanasumbua au tatizo ni nini Babe S?Poa sana, wengine tunakuja kwa kuchunguliachungulia tu
Macho yanasumbua au tatizo ni nini Babe S?Poa sana, wengine tunakuja kwa kuchunguliachungulia tu
Asante sana mkuu upo njema kuwa kumbusha wadau wa nguvu wa huu uziLikes please. Nyuma kidogo posts hazina likes. Lengo ni likes na siyo kukimbiza uzi. Nitawakumbusha daima. TOA LIKES UPATE LIKES...
Naelewa sana tupo pamoja mkuuNatema likes kishenzi. Yaani nagonga mbele na nyuma !
Habari yako kwanzaHabari za eid humu ndani!?
Tupo wengi mkuu maana leo nimeanza kazi ya kugonga nyundo saa kumi na 11 kazi ni nzitoMkuu nipo nyuma nina kazi ya ku like post za vijana. Kwema lakini?
Kamata likes. Nawe toa likes...Leo nimekula pilau la MAKINIKIA na soda ya BASHITE ni tamu balaa mpaka muda huu nipo WANYAMA STREET nimevimbilwa
AheadOne step
Kabisa hii itakosa watazamajiNi pozi la Eid. Pengine unachotaka kukiona hakipo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Umejitahidi hongera! Nakupa double likeAisee nilikuwa na mzigo wa kugonga likes 12 hrs ago lakini ndio nipo 50 mins ago
Chakula hakitoshi hicho. Afadhali tu ungeandika Kigagagigikoko ghtyudjdhsh. Kamata likes [emoji23][emoji23][emoji23]karibuni jaman![]()
Weee!!? Nidedi kisa deni? Hili liuzi la ku like nimwachie nani?Kiboko cha deni ni kukata roho tu. Unalikwepa kwa ulainiiii...
Kwanini u-pot-pot huu uzi.Poa sana, wengine tunakuja kwa kuchunguliachungulia tu