Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Wala sijafikiria kama unavyofikiria! ... Mambo Numbisa? Naona kumbe watu wanaopoa totozi humu, ngoja na mimi nije nichonge ID ya kuopolea; hii wataniona mzushi tu!
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Totoz zipo za kumwaga hasa zikifahamu kuwa papaaa yego anaishi mamton aiseee ukikohoa tu unaambiwa pole honey,ukipaliwa kinalaumiwa chakula kwa kukukaba