Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-22-14-14-30.png
 
Unaweza kusema hivyo ila mkuu kumbuka hata upande wenu kuna masheikh wanaofanya biashara za ramli. Matangazo kila kona insta.kumbuka yule sheikh sijui nabii nimemsahau jina wanasema alizaliwa na maneno ya kitabu mnachotumia. All in all utapeli upo kila kona cha msingi ni elimu tu ila utapeli mkubwa umejaa zaidi kwa makanisa ya kilokole.

Shukran nipo kwenye madhehebu yetu ya kudundana ngumi kila kukicha kisa uongozi ila iman yangu ipo pale pale kumuabudu Muumba mbingu na ardhi na sio viongozi wa kanisa.

Kuna wengine hawataki hata salamu ya shikamoo eti umwambia shika neno kuitikia tenda neno

Utawahurumia maisha wanayoishi umaskin mtupu pesa na mali zote kwa mchungaji
Mambo ya imani haya tuyaache tu.Tupo kwenye uhitaji kiasi kwamba kila tunalo ambiwa ili mradi jina la mungu limetajwa basi,tunakubaliana nalo ingawa Mungu anatuangalia tu tunavyo jishebedua kwa manabii wa uongo.
Tenda neno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom