Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 657505
Wakuu hiyo ajali imetokea mapema leo maeneo ya ubena zamozi nimeshuhudia kwa macho yangu jinsi gani binadamu tunavyoweza kuondoka mara moja hapa duniani .
Tuishi vyema angali maisha tunayo wakuu
Innalilah waiyna illayhi rajuun, mwenyezi awapokee waja wake waliopoteza nafsi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…