carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyu mwanafunzi atakuwa ni mkoromije tu bila shaka
Cc;SYB
Huyu mwanafunzi atakuwa ni mkoromije tu bila shaka
Aiseh!Nitakuja nyumbani baadae...Yaani ni vile vile tu. Maisha yanaendelea
ahahaha kasahau hadi lengo la uziNaona mleta uzi katingwa mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Arusha moja hii
Hahahhaa tena picha anaiba hapo hapo[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kuna watu wanajua kuimbisha kwa mapicha jamaniiii
Nimeona mipichapicha ya Numbisa nikashangaa ni yeye ama kuna mtu kaimba ID yake[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kuna watu wanajua kuimbisha kwa mapicha jamaniiii
Karibu sanaAiseh!Nitakuja nyumbani baadae...
Arusha moja hii
Hahaha itakua kuna mtu kaazima hio ID khee makopa yametembea sired nzimaNimeona mipichapicha ya Numbisa nikashangaa ni yeye ama kuna mtu kaimba ID yake[emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120]santeKaribu sana
Jamaa yupo aktivu hadi anakera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaa tena picha anaiba hapo hapo
Nimeona mipichapicha ya Numbisa nikashangaa ni yeye ama kuna mtu kaimba ID yake[emoji23][emoji23]
Yaani ilibidi niangalie mara 2[emoji23][emoji23][emoji23]mana si kawaida eti,mana nikikumbuka povu lako halafu kuna mahala tena nimekuona unapovuka nikabaki nachekaHahaha itakua kuna mtu kaazima hio ID khee makopa yametembea sired nzima
Hahahah na ana kipaji cha cole hadi shimba akatoa mkwara cole akapunguza lyrics zakeJamaa yupo aktivu hadi anakera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikakuanzishie uzi na mimiJamaa yupo aktivu hadi anakera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani niviibe hivi vi GIF[emoji38][emoji38]
Yaan ndo imekua kama ajira yangu kutoa povu hahahahaYaani ilibidi niangalie mara 2[emoji23][emoji23][emoji23]mana si kawaida eti,mana nikikumbuka povu lako halafu kuna mahala tena nimekuona unapovuka nikabaki nacheka
Najipanga kuanzisha uzi wa jins ya kuzipata hizi GIF.Natamani niviibe hivi vi GIF[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikakuanzishie uzi na mimi