Man city inacheza leo? Lasivyo haamki saa hizi
Huyu boy ni mjinga sana[emoji23][emoji23]*Girl:* _Honey Xmas is approaching._
*Boy:* _Thanks for reminding me. Can't wait._
*Girl:* _Get me tablet for Xmas._
*Boy:* _Really?_
*Girl:* _Yeah._
*Boy:* _Paracetamol or Vitamin C?_
*Girl:* _I mean Samsung Tablet baby_
*Boy:* _Relax!! It's Jesus' Birthday not yours!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ukiwa kule hata sijui hekima unampaga nani akushikie! Dakika sifuri tu tayari...Ayaaaaa nimtukanwa na mie hapa hahahah
Hata sielewi kwakweliMan city inacheza leo? Lasivyo haamki saa hizi
Basi,aamshwe tu hakuna namnaHahahaha inacheza
Umeme jamani Tanesco hawa, niambie kulikuwa na ubuyu gani.We jana ulikuwa wapi?nilikuita hadi koo likakauka
Hahahha utakuwa ushapitwa, siku hz kumekuwa na maubuyu ya kutoshaWapi mkuu nikachungulie angalau nimwage povu kidogo[emoji3] [emoji3]
Ubuyu wa misa na zari sema uzi umefungwa na modsUmeme jamani Tanesco hawa, niambie kulikuwa na ubuyu gani.
Dah ntakuwa nimepitwa. Hivi hiyo ligi bado mshindi hajapatikana tu?Ubuyu wa misa na zari sema uzi umefungwa na mods
Hahahha kule lazima ujitoe akili ndio utaweza kwenda nao sawa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ukiwa kule hata sijui hekima unampaga nani akushikie! Dakika sifuri tu tayari...
Hahahahahahaa jamanNa alianza kiutani utani tu.For real aliuchangamsha uzi ingawa mtu mwenyewe ulie anzishiwa uzi "chenga" (kama alivyoitwa emmy kule ukatetewa wewe) hauchelewi kubadilika
Bado sema ulikosa uhondo jana[emoji23][emoji23]acha tuDah ntakuwa nimepitwa. Hivi hiyo ligi bado mshindi hajapatikana tu?
Hahahaha jaman jaman hii funga mwaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ukiwa kule hata sijui hekima unampaga nani akushikie! Dakika sifuri tu tayari...
Ngoja niende insta nikacheckBado sema ulikosa uhondo jana[emoji23][emoji23]acha tu
Umeona ee ukiwa mpole utaonewa hadi na new membersHahahha kule lazima ujitoe akili ndio utaweza kwenda nao sawa.
Ukipata kipya nambieNgoja niende insta nikacheck
Kule watu wana roho za kwanini.hadi wanaboa.Umeona ee ukiwa mpole utaonewa hadi na new members