carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mnaongelea siasani ama celeb?Umeona ee ukiwa mpole utaonewa hadi na new members
Mnaongelea siasani ama celeb?Umeona ee ukiwa mpole utaonewa hadi na new members
Haya,UsijaliUkipata kipya nambie
Hahahaha BAK jamaniKila la heri na baraka.
Mabeto kapost dully huku akiandika mafumbo kumsema zari. Misa anahitaji mtaalam wa saikolojia anamuingiza hadi mtoto kwenye ugomviNgoja niende insta nikacheck
Ukipata kipya nambie
Aisee asavali umekamu,chilisimasi haujanitumia ujue!! Usitume hela nyiiiingi hadi nikashindwa kuimaliza peke yangu,matokeo yake nikatafuta mchepuko wa kuitafuna nae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muamala puliz...Hahahha kule lazima ujitoe akili ndio utaweza kwenda nao sawa.
Watu wana stress zao bhana na huku ndo sehemu ya kuzitoleaKule watu wana roho za kwanini.hadi wanaboa.
Wamejaa wivu sasa wanaona heri wapunguze wivu kwa kuchamba.
Hahahah na kweli, acha wapunguze machunguWatu wana stress zao bhana na huku ndo sehemu ya kuzitolea
Celebrity hata MMU piaMnaongelea siasani ama celeb?
Yaan silipendi mm hilo li mtu, akili kichwani hakuna kbs. Amejaa uswahili matokeo yake sasa hadi mama mlezi wake anachambwa mbaya.Mabeto kapost dully huku akiandika mafumbo kumsema zari. Misa anahitaji mtaalam wa saikolojia anamuingiza hadi mtoto kwenye ugomvi
Me jana nilisema,misa ana stress za kuachwa na hana washauri wazuri,yaani ningemuona wa mana kama angeacha kujibishana akapambana na hali yake atengeneze maisha ya mwanae sasa yeye kutwa kusaka attention mitandaoni ndo mana anakejeliwaMabeto kapost dully huku akiandika mafumbo kumsema zari. Misa anahitaji mtaalam wa saikolojia anamuingiza hadi mtoto kwenye ugomvi
Sana hebu fikiria mtu anamchukia zari kisa ana watoto watano,kutwa nzima mama watano hiki mara kile,saiv wanamchukia kisa masikio yake mara hana mali,weupe alionao etc daah waja wana mamboKule watu wana roho za kwanini.hadi wanaboa.
Wamejaa wivu sasa wanaona heri wapunguze wivu kwa kuchamba.
Hehehehe tena bora umejileta maana mwenzio hapa kila sms ikiingia naifungua haraka najua tayari ushanithibitishia kwa M-pesa.Aisee asavali umekamu,chilisimasi haujanitumia ujue!! Usitume hela nyiiiingi hadi nikashindwa kuimaliza peke yangu,matokeo yake nikatafuta mchepuko wa kuitafuna nae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muamala puliz...
Nipo hapa kama unatafuta wa kumaliza naye hizo hela[emoji23][emoji23][emoji23]tena za nsamaka nazila bila hurumaAisee asavali umekamu,chilisimasi haujanitumia ujue!! Usitume hela nyiiiingi hadi nikashindwa kuimaliza peke yangu,matokeo yake nikatafuta mchepuko wa kuitafuna nae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muamala puliz...
Acha niende Chalinze mara moja nikauvue uzee. Maake hilo jukwaa linataka akili za ujana kuwezana nalo. Nimeshangaa tu majina sijui "Tukinao", "Tununu"mara Chuchunge....jamaniiiiHahahaha jaman jaman hii funga mwaka
Hata taarifa ya habar huwa zina matangazo mafupi mafupi ndo kinachotokeaga kule celebrity
Yaan mpuuzi sana huyo msichana, badala ajikubali tu apambane na hali yake.Me jana nilisema,misa ana stress za kuachwa na hana washauri wazuri,yaani ningemuona wa mana kama angeacha kujibishana akapambana na hali yake atengeneze maisha ya mwanae sasa yeye kutwa kusaka attention mitandaoni ndo mana anakejeliwa
Yaan hajielew ukiangalia snap ya kwanza ya zari ilimuhusu don wa ug ila hamisa akaidaka na kuanza jibu ili apate sifa. Zari huyo yupo zake kwenye ndege akaacha ku snap hakujibu kitu bidada akajiona mshind akaanza poromosha maneno weee mpaka akachoka kahamia instaYaan silipendi mm hilo li mtu, akili kichwani hakuna kbs. Amejaa uswahili matokeo yake sasa hadi mama mlezi wake anachambwa mbaya.
Naona watu wanafukua makaburi kule ni balaa.
Hlf hao wanaomchukia sasa hata kula yao tu ni ya shida. Team misa wakiongozwa na boss wao hata nyumba hawana.Sana hebu fikiria mtu anamchukia zari kisa ana watoto watano,kutwa nzima mama watano hiki mara kile,saiv wanamchukia kisa masikio yake mara hana mali,weupe alionao etc daah waja wana mambo
Hana washauri wazuri na kingine kinachonifanya niwaze hivi ni nani anampa kiburi hivi?Yaan silipendi mm hilo li mtu, akili kichwani hakuna kbs. Amejaa uswahili matokeo yake sasa hadi mama mlezi wake anachambwa mbaya.
Naona watu wanafukua makaburi kule ni balaa.
Yaan anatia huruma. Kama kweli kaolewa au anapendwa na dai asingefichwa na kutokua huru kupiga picha akiwa madale. Au pale dai akiwa kambeba mwanae dully. Sifa za IG zitampeleka pabaya sanaMe jana nilisema,misa ana stress za kuachwa na hana washauri wazuri,yaani ningemuona wa mana kama angeacha kujibishana akapambana na hali yake atengeneze maisha ya mwanae sasa yeye kutwa kusaka attention mitandaoni ndo mana anakejeliwa