Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila kuna watu wana wivu jamani! Mpaka unaogopa! Wanamchukia mtu bila sababu za maana kabisa kila siku wanamuombea mabaya na wengine wakidai si Mtanzania mwenzetu!! Hivi mtu kuwa si Mtanzania ndiyo iwe sababu ya kuchukiwa kiasi hicho kwa kweli? Mbona wako wengi tu duniani si Watanzania lakini Watanzania wengi tunawapenda sana! Mioyo iliyojaa kutu.

Hahahaha BAK jamani
 
Yaan hajielew ukiangalia snap ya kwanza ya zari ilimuhusu don wa ug ila hamisa akaidaka na kuanza jibu ili apate sifa. Zari huyo yupo zake kwenye ndege akaacha ku snap hakujibu kitu bidada akajiona mshind akaanza poromosha maneno weee mpaka akachoka kahamia insta
Mwenzangu niliona nikabaki nashangaa tu.
Mara sijui mme wa mtu,nikajiuliza yy kaolewa lini? Hata washauri wazuri huyo msichana.
Haya anaejidai mme wake kiko wapi sasa, wenzake wapo south wanakula maisha yy kabaki anapambana na insta na joto la dar.
 
Ila kuna watu wana wivu jamani! Mpaka unaogopa! Wanamchukia mtu bila sababu za maana kabisa kila siku wanamuombea mabaya na wengine wakidai si Mtanzania mwenzetu!! Hivi mtu kuwa si Mtanzania ndiyo iwe sababu ya kuchukiwa kiasi hicho kwa kweli? Mbona wako wengi tu duniani si Watanzania lakini Watanzania wengi tunawapenda sana! Mioyo iliyojaa kutu.
Hlf huyo mtz mwenzetu hana akili, hataki kujifunza anapenda ligi za kipuuzi na hiyo team iko inampa kichwa kumbe ndio wanamuangamiza.
Hapo unadhani kuna mwanaume atatamani kuoa huyo mtu?
 
Ana kiburi cha mtandaoni tu maana kama angekua ana sapoti toka kwa familia ya dai angeweza anika meng hadharan unajua mtu akiwa na hasira ya kukomesha hawaz kuchuja vitu wala katazo la mtu sasa jana hamisa alikua kapanic sana kama angekua kapewa go ahead na dai angemwaga vingi ila hana ukaribu na dai ndo maana anaokoteza maneno na ushahidi wa zaman
Hana washauri wazuri na kingine kinachonifanya niwaze hivi ni nani anampa kiburi hivi?
Niliona post yake moja jana anasema alimpeleka domo kupokea zile tuzo3
 
Hawa ndo wapiga kura sasa kwa style hii wapinzan wana kazi sana kuwaelimisha hawa watu.maana watu wenyewe ni bendera fata upepo,leo wakisikia kwa mtu hiki wanaamin kesho akija mwingine kasema hiki wanamkana wa mwanzo na kumwamini wa wakati huo.

Back
Top Bottom