Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kweli acha aendelee kutufurahisha
d6e27c4198f115a0caf8758e6d472070.jpg

Muda wote mwanamke anatakiwa awe na akili kuliko mwanaume,ila kwa huyu binti ni kinyume
 
Hawezi kujuta kwa sababu hajitambui.Hana anacho poteza maana ana uhakika watoto wake watalelewa na baba zao
Atajuta mkuu..mwangalie mange alivyo sasa ndivyo anavyokua hamisa. Mange alikua na kufuru sana mashauzi matusi mengi saiv hana hata rafiki. Watoto hana mamlaka nao anaishi nao kwa siku chache mno,pesa hana kabakia kudhulumu watu kupitia application
 
Back
Top Bottom