Hahahhaa kule akili zao wanazijua wenyeweAhsante.
Uzi ule mbona kuna mvurugano sana?
Nimeukimbia jumla
AmenMwenyezi Mungu akujaalie ufike salama
Jambo la kheri.Huku wote ni wazima kabisa.Mbagala kwema sana. Wapwa zangu hawajambo?
Safi shemeji yangu, kwema?Shemeji habari ya leo
Zile nyuzi nabahat mbaya nazo,maana nikianza ubishi kidogo tu mods wanafanya yaoNaona uzi wetu umepigwa kufuli.
Halafu hongera nimeona uzi wa kusifiwa kule[emoji4][emoji4]
Wapi mkuu nikachungulie angalau nimwage povu kidogo[emoji3] [emoji3]Ahsante.
Uzi ule mbona kuna mvurugano sana?
Nimeukimbia jumla
Naona mleta uzi katingwa mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaa kule akili zao wanazijua wenyewe
Muonyeshe moudHahahhaa kule akili zao wanazijua wenyewe
Wapi mkuu nikachungulie angalau nimwage povu kidogo[emoji3] [emoji3]
Huku kheri kabisa,sijui huko maendeleo?na ni vile vile tu?Safi shemeji yangu, kwema?
Sema kwa mapovu yale na zile picha nilihisi mods watafanya yao tu.Zile nyuzi nabahat mbaya nazo,maana nikianza ubishi kidogo tu mods wanafanya yao
Asante,ila sasa naona kuna kugombana humo kisa ID numbisa hahahaha hawa watu jaman
Kafukuziwa njiwa wake[emoji23][emoji23]Naona mleta uzi katingwa mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, nimeshastaafu !!!
YapWeka malengo kwa mwaka ujao ukamlishe paliposalia
Yaani ni vile vile tu. Maisha yanaendeleaHuku kheri kabisa,sijui huko maendeleo?na ni vile vile tu?
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kuna watu wanajua kuimbisha kwa mapicha jamaniiiiKafukuziwa njiwa wake[emoji23][emoji23]