Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2) Maumivu katika sehemu za juu za kiwiliwili: Mtu huhisi maumivu sehemu za mikono, mgongo, shingo, taya na tumbo.
 
3) Kukosa pumzi au kushindwa kupumua: Hali hii huweza kutokea ikichanganyika na maumivu ya kifua au bila maumivu hayo. Dalili nyinginezo ni pamoja na kutoka kijasho chembemba (cha baridi), kujisikia kichefuchefu pamoja na kichwa kuwa chepesi na kizunguzungu. Moyo kwenda mbio au kwa ibara nyingine mapigo ya moyo kutokea kwa kasi zaidi kuliko kawaida.
 
Unashauriwa iwapo utajisikia mumivu ya kifua, hasa pamoja na mchanganyiko wa moja ya dalili tulizozitaja, usisubiri na haraka mpigie simu daktari au wasiliana na kituo cha afya ili upatiwe msaada, au elekea haraka hospitali mwenyewe
 
Muda unaofaa wa kutibiwa mshituko wa moyo ni saa moja tangu wakati wa kutokea hali hiyo. Kutibiwa mapema dalili za mshituko wa moyo hupunguza hatari ya kuharibika seli za moyo. Hata kama huna uhakika dalili unazohisi ni za mshituko wa moyo au la, ni bora umuone daktari na ufanyiwe uchunguzi.
 
Utafiti waliofanyiwa wanawake 515 ambao walipata mshituko wa moyo umeonyesha kuwa, wengi wao waliripotiwa kuwa na dalili za kujihisi kuchoka, kutolala vyema, kushindwa kupumua, kujisikia maumivu baada ya kula na wasiwasi. Asilimia 70 ya wanawake hao walihisi dalili zaidi ya moja kabla ya kupatwa na mshituko wa moyo.
 
Karibu theluthi moja ya kesi za ugonjwa wa mshtuko wa moyo hutokea kimya kimya, bila maumivu ya kifua wala dalili nyinginezo. Kesi kama hizo hugunduliwa baadaye katika vipimo. Kesi kama hizo hutokea zaidi kwa wazee, wagonjwa wa kisukari na baada ya kuunganishwa moyo au heart transplant.
 
Kwa kawaida madaktari hufahamu kuwa mtu amepatwa na mshituko wa moyo au anaelekea kupatwa na mshituko huo kutokana na dalili alizonazo na anavyojisikia. Pia kwa kutegemea historia ya kifamilia na ya kitiba ya mgonjwa pamoja na vipimo. Kipimo kikuu kinachotumika kupima iwapo mtu amepatwa na mshituko wa moyo ni EKG. Hicho ni kipimo kinachoonyesha na kurekodi mwendo na harakati ya moyo. Kipimo hicho huonesha moyo unakwenda kwa kasi ya kiasi gani, mapigo ya moyo na mdundo wake. Kwa hakika kipimo cha EKG huonyesha dalili za kuharibika moyo kutokana na matatizo ya mishipa ya moyo ya ugonjwa wa coronary heart disease na pia dalili za mshituko wa moyo uliotokea huko nyuma na unaotokea hivi sasa.
 
Klabu ya Simba imemfukuza kocha wake Joseph Omog, baada ya viongozi wa timu hiyo kufanya kikao cha dharura na kufikia maamuzi hayo kwa ajili ya maslahi ya timu.
 
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameiambia Goal, wameamua kuachana na kocha huyo kutokana na matokeo mabaya iliyoipata timu hiyo jana dhidi ya Green Worriors, na kuvuliwa rasmi taji la FA na timu hiyo ya daraja la pili.
 
Nikweli tumevunja mkataba na kocha Omog, baada ya makubaliano yapande yenye maslahi kwa pande zote mbili sisi klabu ya Simba, tunamtakia safari njema Omog na siku zote tutaendelea kuutambua na kuuthamini mchango wake kutoka huko tulipoanza naye hadi hapa alipotufikisha," amesema Manara.
 
Msemaji huyo amesema baaada ya kocha huo kuondoka timu yao itabaki chini ya kocha msaidizi Masud Djuma, ambaye sasa ndiye atakayeiongoza klabu hiyo kwenye michuano yote ambayo inashiriki ikiwepo ile ya Kombe la Mapinduzi huku uongozi ukiwa katika jitihada za kumtafuta mbadala wake.
 
Omog alikuwa akilalamikiwa kwa muda mrefu na mashabiki na wanachama wa timu hiyo kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo ambayo imesheheni wachezaji mastaa walioigarimu klabu hiyo kiasi cha Bilioni 1.3, katika usajili wao wa msimu huu lakini ilikuwa ni tofauti na matokeo waliyokuwa wakipata uwanjani
 
Kufukuzwa kwa Omog kunahitimisha fununu za sikunyingi zilizokuwa zinamuhusu kocha huyo kufukuzwa kwenye klabu hiyo kongwe nchini ambayo haijafanya vizuri kwa misimu minne mfululizo.
 
Omog ametua Simba mwanzoni mwa msimu uliopita kuchukua nafasi ya Muingereza Dylan Kerr na kwa kipindi chote alidumu Simba aliweza kuisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa Kombe la FA,
 
kushuka nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya msimu uliopita na kushika nafasi ya pili kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi na kubeba Ngao ya Jamii msimu huu baada ya kuwafunga wapinzani wao Simba.
 
86' CHANCE! United are spurning opportunities to kill off the game as Mkhitaryan opts not to shoot from close range to tee up Lukaku, but Fuchs is able to make the interception. They're letting Leicester hang around - it only takes one mistake or a moment of brilliance to level the scores.
84' PENALTY APPEAL! There are appeals for a penalty from the Foxes as Smalling grapples with Maguire, but the referee is not convinced. It's probably even for the non-decision against Rashford.
 
Back
Top Bottom