Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mara nyingi wagonjwa wa kisukari huweza kupata maambukizi ya fangasi kinywani hii ni kwasababu kisukari hushusha kinga ya mwili ya mwenye ugonjwa huo.
Hali kadhalika kama unavuta sigara, una kisukari, unatumia madawa mbalimbali kwa muda mrefu ni rahisi zaidi kuweza kupata maambukizi ya fangasi kinywani(Oral Candidiasis/Oral Thrush).
 
Fangasi hutengeneza mabaka meupe ama mekundu katika sehemu mbalimbali za kinywa ambayo wakati mwingine huweza kugeuka kuwa vidonda. Huweza kutokea kwenye ulimi na kusababishwa maumivu makali na wakati mwingine huweza kusababisha shida wakati wa kumeza chakula na kutokuhisi radha ya chakula. Usafi wa kinywa ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…