myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila MTU ni muhimu
![]()
Ukimjua hakusumbui
Mungu ni mwema mkuu
Hapo ndo penye utata,kampa lift au katoka kumnunua kwa ajili ya hilo neno ulilolisema...Mmh kitoweo hicho
[emoji120] [emoji120] sisi wote ni wake Baba aliye MbinguniPamoja sana mkuu,[emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] team kivuruge[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utakuwa una msema carba? Yupo njiani aja.Nimemuacha Mbagala rangi tatu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee!! Hakuna zile rangi tulizozoea hapa duniani. Yani kama hivi