Asee!! Hakuna zile rangi tulizozoea hapa duniani. Yani kama hivi
Merry Xmas Moudgulf!
Acha weee, pilau kwa mnofu wa dog
Ukimjua hakusumbui
Yaaa, kilaji hicho na hapo ni ilula wilayani kilolo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmh kitoweo hicho
Likes kwa likesLiked
I'm so happy masiha amezaliwaMerry Christmas too mzee wa liver
Msosi huo mkuu, haramu yako ni halali kwa wengine[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo ndo penye utata,kampa lift au katoka kumnunua kwa ajili ya hilo neno ulilolisema...