myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KapotezwaKapotea/ kapotezwa.
HahahahahaNi kweli[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli kabisa mkuuuUlimbukeni unaangamiza watu
Na kwako piaMuwe na Christmas njema wana likes
Kweli mkuu xmass ina maana hakuna masssAsante sana mkuu. Na kwako pia (japo najua husherehekei)
Na ni Christmas au Krismasi. Xmass hii haipo na kama ipo basi ni ya walimwengu na ulimwengu wao !!!
Yap ChristmasHeri ya christmas pia
Hahahahaha apambane na hali yakeWewe si ulijifanya kum-diliti dadangu? Sasa Kuna wengine wameshamdaunilodi. Ni bora uufyate tu kwa kweli!!!
Sikukuu inaendeleaje?
Sita itapendeza zaidiLike 5 itapendeza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kapotezwa
Mkuu habari za masiku tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una cheka nini sasa?
Du aina gani ya nyoka hao
Karibu hivyo
Acha nijaribu hii
Nitapiga kutwa Mara Tatu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]