Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We mbona nipo uwaga nakuangaliaga tu siandiki chochote yote kwa yote nimekukumbuka sana, yaani sanaZa kupotea?
My princess hiZa kupotea?
Na kwako piah kamanda ruta endelea kuvunaMerry Christmas boss!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ujumbe sio mzuri kabisa
Nimekumiss tu mimi apa...We mbona nipo uwaga nakuangaliaga tu siandiki chochote yote kwa yote nimekukumbuka sana, yaani sana
Unaendeleaje, ulikuwaje ,uko powa???
Mzee wa fx za kuadimika?My princess hi
Merry Christmas
Mkuu nani huyu
Wapo mkuu lakini ratiba za kuingia na kutoka zipo tofauti ,ila kijijini hapa wakuu wote wapo karibu tena mkuuKitambo sana mkuu.
Hivi niliowaacha wapo?
Gr8Mungu yu mwemma niko poa