carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sijui hata kapotelea wapi huyu chalii muda sana sijamuonaSikukuu njema kabisa kichwa kichafu wapi
Sijui hata kapotelea wapi huyu chalii muda sana sijamuonaSikukuu njema kabisa kichwa kichafu wapi
Aisee...huku mjini kunatukosesha mambo mengi sanaHahaha na lukama pembeni nikakukumbuka
Mzee wa kazi
Teh teh tehKweli vyuma vimekaza yaani jamaa kaona bora awe amekufa tu kuliko kupigwa kidundo
Huyu ndo mtoto wa "mr you know who" Na "bibi makinikia?[emoji23][emoji23][emoji23]
Toto hiloLoving arms[emoji443][emoji443][emoji443]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwepo muda si mrefu hapa.Amemshtukia mzee wa pwani,ameamua kumtafuta my love wake kitoo manyuale...Aliyemwona SHIMBA YA BUYENZE amwambie aje kuwachukua ndugu zake huku[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 659022
Cc:andjul[emoji125] [emoji125] [emoji125]