Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Uzuri wako upo too cooperativeAiseeh!pambana baba niko nakungoja[emoji4][emoji4]
Sayari ya Jupiter huko nasikia mvua ikinyesha ni diamond za kumwagaNimefurahi kusikia hivyo nipo napamba kutafuta nauli twendezetu sayari ya mars
Unashangaa nini mkuuNiko poa mkuu heshima yako. Niko hapa nashangaa kwenye luninga.
Unanipaga raha bhasi TuuNimefanyaje tena Cole jamani[emoji4][emoji4]
Nasikia ukigonga maji sana unakuwa white kama Ray[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuletea lita7 za afya sasahivi,we comment tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Aha aha ahaKisura kimekula pozi la nguvu baada ya kutupia pamba zake za Xmas.
Si kwa madongo hayo
Ni KweliWaliofilisi nchi yetu.
Mzee wa frustration
Unashangaa nini mkuu