Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] kila mtu na demu wake,kila mtu na demu wake,[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji447] (aaaa wapi Mr Nice)
Katika ubora wako Mnyakyusa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bado upo Western Hemisphere hii hii, au uko mapumzikoni Koromije? Umeadimika aisee!
Krismasi Koromije mkuu. Kijijini huku wakati mwingine mitandao ya shida kidogo siyo kama huo mterezo wa kwenu huko. Nitarudi January au Feb kwa wiki kadhaa tena. Sema kama unataka majani ya chai au kahawa...
 
Shukrani sana Mkuu, wasalimie sana huko! Niletee matoborwa bhana! [emoji1][emoji1][emoji1] Usikose kwenda kumsalimia carbamazepine, mwambie namsalimia! [emoji23][emoji23]
 
5f6507d65af5907874d08b040416ee74.jpg
 
Shukrani sana Mkuu, wasalimie sana huko! Niletee matoborwa bhana! [emoji1][emoji1][emoji1] Usikose kwenda kumsalimia carbamazepine, mwambie namsalimia! [emoji23][emoji23]
Matoborwa haya siyo majira yake mkuu. Viazi ndiyo kwanza vinalimwa.

Carba kwani anapatikana mitaa gani? Hata mimi ningependa kumsalimia kwa kweli - binti machachari msomi mcheshi mpenda matani wa pwani shemeji yangu kipenzi. Tusaidiane kumsaka !!!
 
Back
Top Bottom