Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
uweze kula vyakula vizuri vya aina mbalimbali unavyovipenda bila hofu yeyote wala wasiwasi wowote, Halikadhalika pia uweze kuzungumza kwa kujiamini katika jumuia ya watu tofauti tofauti. Hakika kuwa na kinywa safi na chenye afya ni msingi wa kuwa na maisha bora.