myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hujambo..kuna muda alichungulia humu.Jamani kuna aliyemuona Shimba ya Buyenze humu?
safi sana ..kwema kwakoSalaam wanauzi
Angalia usije ukaanguka
Siku zote Mungu ananilinda na zaidi hua wanaanguka wengine wanaowish nianguke na wengine walipotea kabisa sababu walitaka nianguke.Angalia usije ukaanguka
Nipo binti. Za kupotea? Sikukuu ya kuzaliwa mwokozi wetu imekuachaje? Tumshukuru Mungu !!!Jamani kuna aliyemuona Shimba ya Buyenze humu?