Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Baaado! Tuombe tuumalize mwaka huu salama!!!
Baaado! Tuombe tuumalize mwaka huu salama!!!
Mswaki unakata miaka hata mitatu aisee. Meno siyo kipaumbele cha wengi mpaka yakilianzisha ndo tunayakumbuka. Wanasayansi sasa wanatuambia kwamba afya ya meno inafungamana moja kwa moja na afya ya moyo; na maambukizi yanayoanzia kwenye meno yanaweza kumalizikia kwenye moyo na kuleta madhara makubwa. Tuyajali meno yetu!!!Nunua mswaki mpya kila baada ya miezi mitatu mpaka minne
Wengine bado wapo zama za miswaki ya miti na dawa ya mswaki majivu au unga wa mkaaMswaki unakata miaka hata mitatu aisee. Meno siyo kipaumbele cha wengi mpaka yakilianzisha ndo tunayakumbuka. Wanasayansi sasa wanatuambia kwamba afya ya meno inafungamana moja kwa moja na afya ya moyo; na maambukizi yanayoanzia kwenye moyo yanaweza kumalizikia kwenye moyo na kuleta madhara makubwa. Tuyajali meno yetu!!!
Inshaalah! Mungu anasema ukiwa na imani kama punje ya haradali waweza kusema mlima huu ung'oke na ukang'okaBaaado! Tuombe tuumalize mwaka huu salama!!!