Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-28-10-31-44.png
 
Kuna kaandaeitini ni kang’ang’anizi vibaya, hakataki hata nikohoe! [emoji23][emoji23][emoji23] Hujambo lakini? Ila hata wewe kuna mtu anakuficha siku hizi, huonekani aisee! Kuna kiama cha snow na baridi la kufa mtu huku! [emoji23][emoji23]
Mwambie akupunguzie dozi bhana utakonda bure[emoji23][emoji23]ila na hiyo baridi si ndo vizuri mnahaibaneti tu kutwa nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Me mzima sana mambo tu yanaingiliana ndio mana ila nipo.
Nafurahi kukuona tena[emoji4][emoji4]
 
Hahahaa, na mimi nafurahi kukuona! Nitakapiga taraka rejea haka! Mambo mwisho wa mwaka ni mengi kwa kweli, Ila huwa nachungulia humu mara kwa mara! Tunausubiri mwaka mpya, kama Mnyaazi Mungu atatujalia kuuona!
 
Back
Top Bottom