Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwambie akupunguzie dozi bhana utakonda bure[emoji23][emoji23]ila na hiyo baridi si ndo vizuri mnahaibaneti tu kutwa nzima[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kaandaeitini ni kang’ang’anizi vibaya, hakataki hata nikohoe! [emoji23][emoji23][emoji23] Hujambo lakini? Ila hata wewe kuna mtu anakuficha siku hizi, huonekani aisee! Kuna kiama cha snow na baridi la kufa mtu huku! [emoji23][emoji23]
Mwambie akupunguzie dozi bhana utakonda bure[emoji23][emoji23]ila na hiyo baridi si ndo vizuri mnahaibaneti tu kutwa nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Me mzima sana mambo tu yanaingiliana ndio mana ila nipo.
Nafurahi kukuona tena[emoji4][emoji4]