Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunashukuru kwa taarifa njema.
Uongozi wa huu uzi na member wa humu naomba tufatilie kwa makini tujione kwa pamoja.

mzee wa liver
ho chi minh
Mango833
uniq
babe S
Jembekillo
ISIS
SHIMBA YA BUYENZE
andjul
ellymckoye
myoyambendi
Numbisa
jmapunda
Cole Williams
culture gal

Na member wengine wote maana hapo nimetype haraka haraka iliniendelee kugonga nyundo maana najua tupo wengi na wengine nawakumbuka

Tunafatilia kama sheria zinavunjwa kwenye huu uzi



Toa likes pata likes
TUNAFATILIA HIZI TUHUMA
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[/QUOTE]Hizo tuhuma ni kweli!
 
Leo sidhani kama tutafanikiwa kufikisha malengo ya 45k.
Au?
Malengo ya 45k? Unafukua makuburi ya like mkuu?
70eaabf893d7203707acb5a0deae37d9.jpg
 
Back
Top Bottom