Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Insha'allah iwe hivyo mana hizi siku 3 zikizobaki ni nyingi mno.Hahahaa, na mimi nafurahi kukuona! Nitakapiga taraka rejea haka! Mambo mwisho wa mwaka ni mengi kwa kweli, Ila huwa nachungulia humu mara kwa mara! Tunausubiri mwaka mpya, kama Mnyaazi Mungu atatujalia kuuona!
Insha'allah iwe hivyo mana hizi siku 3 zikizobaki ni nyingi mno.
Haya uwe na siku njema[emoji4]