Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
TUNAFATILIA HIZI TUHUMATunashukuru kwa taarifa njema.
Uongozi wa huu uzi na member wa humu naomba tufatilie kwa makini tujione kwa pamoja.
mzee wa liver
ho chi minh
Mango833
uniq
babe S
Jembekillo
ISIS
SHIMBA YA BUYENZE
andjul
ellymckoye
myoyambendi
Numbisa
jmapunda
Cole Williams
culture gal
Na member wengine wote maana hapo nimetype haraka haraka iliniendelee kugonga nyundo maana najua tupo wengi na wengine nawakumbuka
Tunafatilia kama sheria zinavunjwa kwenye huu uzi
Toa likes pata likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nadhani unataka uijue cv yako kupitia yeye. Yaani hata kama ataongea ambayo si ya kweli watu wake sasa,"Mange kasemaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] "Sikipend ki mange
Mr. Tunda. Toa likes bana. Eid inaendeleaje?Na mimi sijawahi kuona likes za hao watu.
Karibu tena. You were missed!Nimerudi
TOA LIKES POKES LIKES...Na Mimi Nataka Like!
Like zinazidi labda kama unatumia Jf App.Kwann like huwa ni tano tu???????
Malengo ya 45k? Unafukua makuburi ya like mkuu?Leo sidhani kama tutafanikiwa kufikisha malengo ya 45k.
Au?
Biashara ni timing. Niliuza magunia yangu ya mahindi 350 kwa 60,000 kila gunia sasa najuta balaa japo sikula hasara...Kama hujauza imekula kwako.
Mi nipo tayari kwa lolote ukiiangalia ile sentesi yangu inavitu vingi sana ndani yakeUsisite kutuona sisi shemeji zako mambo yakikolea. Ila jiandae sawa sawa. Keshatwaliwa!
Sema mkuu. Likes utazichoka!Shimba Ya Buyenze
Usijali. Ngoja niongeze speed ya kutoa Like. Itafika tu53k inaita