Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The beautiful Sanaa Lathan
25036212_1970974519856774_1793257611831803904_n.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Zabibu ni matunda matamu yanayopendwa yakiwa na faida nyingi kiafya kwa mwili. Kuna zabibu za rangi ya kijani, nyekundu na kama nyeusi. Unaweza kula zabibu kama matunda, zabibu zilizokaushwa (raisin) au kama juisi ya zabibu. Zabibu hutumikana sana kutengeneza mvinyo (wine)sehemu mbalimbali duniani
 
VIRUTUBISHO VILIVYOPO NDANI YA ZABIBU
Kwa kila gramu 100 za zabibu zina wastani wa virutubishi vifuatavyo;
Nishati kilokaro 69Wanga gramu 18.1Sukari gramu 15.48Kambakamba gramu 0.9Mafuta gramu 0.16Protini gramu 0.72
Vitamini
Vitamini B1, B2, B3, B5, B6, B9Vitamini CVitamin EVitamin K
Madini
Kalsiamu miligramu 10 mgChuma miligramu 0.36Magneziamu miligramu 7mgManganizi miligramu 0.071Sodiamu miligramu 2mgPotasiamu miligramu 191Fosforasi miligramu 20
 
Back
Top Bottom