Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya tena ndugu zangu mwaka 2017 ndo umeisha hvyo, kwa niliemkwaza, niliemtapeli, niliemuazima hela then sikumrudishia, niliempiga, na wote wabaya wangu napenda kuwaambia hiyo ni trela tuu, picha kamili 2018,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]

Simuombi mtu msamaha mimi
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 

[emoji85][emoji85]unatisha
 
Ukerewe. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa askari huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe.

Amesema baada ya uchunguzi na utaratibu kukamilika mwili utasafirishwa kwa mazishi mkoani Iringa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…