SawaNiko jiran hapa najaaa[emoji1] [emoji1]
Kwann ?we ni me au ke?Huu Mwaka unaisha Nipo single na unaokuja ndo nitakuwa double single kabisaa
MeKwann ?we ni me au ke?
OK,utakua unachagua sana
Wanazingua sana hawa mademu wa 2017OK,utakua unachagua sana
Ttz humu hujui yupi kidume yupi kibinti,ila...ujumbe nimeuelewa
KwannTtz humu hujui yupi kidume yupi kibinti,ila...ujumbe nimeuelewa
Hahaha ulijaribu humu?humu pasua vichwa,tegea wale wanafanya promosheni za vocha mitaaniWanazingua sana hawa mademu wa 2017
Hapana nitaanza kwenda kanisan nikavizieHahaha ulijaribu humu?humu pasua vichwa,tegea wale wanafanya promosheni za vocha mitaani
Plan nzuriHapana nitaanza kwenda kanisan nikavizie
Humu unaweza tongoza ukakutana na kibibi alafu umekisafiria Dar mpk MwanzaPlan nzuri