Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25008678_134217517275508_258905112548737024_n.jpg
 
Hilo hata mimi sijathibitisha kusema kweli. Ila niliwahi kusoma gazeti moja ambalo liliandika mdada wa kibongo alidai kwamba ili kuvutia wanaume wengi wamtongoze inabidi awe na makalio makubwa kwa sababu yeye alikuwa hatongozwi kama wale wenye wowowo za haja. Akaenda Kariakoo kununua dawa ya kichina na kuanza kujisiliba mara mbili kwa siku kwenye makalio. Akaanza kuona yanafutuka, lakini yakasababisha awe mzito kutembea na akitembea umbali mdogo anachoka inabidi apumzike hivyo akaogopa kuendelea kupaka lakini yalikuwa yanazidi kuongezeka. Tatizo kuna magazeti fake nayo yanaweza kuandika story kama hii ili wauze kwa wingi.
Mchina fake, makalio fake, gazeti take[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom