Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25014145_178845149369997_3344292167819460608_n.jpg
 
Kuvaa ni bora mara milioni. Kuna mdada mmoja nadhani ni mzungu jina limenitoka ni mcheza sinema maarufu sana ila siku hizi hasikiki kabisa. Alikuwa mzuri wa haja basi akataka awe na lips za midomo kama za Waafrika hivyo akaenda kufanya hiyo plastic surgery ya lips. Basi ikatoka vibaya. Rekebisha rekebisa na wewe basi uzuri wote ukapotea ila pamoja na yeye kukutwa na hilo janga lakini wengi badi hawaogopi wanataka lips kama za Waafrika! Waafrika wanataka kuwa Wazungu na Wazungu wanataka kuwa Waafrika! Dunia mambo mpwito mpwito.

Nisingefanya yote hayo ila ningekua naumia nikiona wenye nayo. Ningevaa tu vitu vya kuweka shape hayo mengine sitaki kujuta baadae.
Sema na sisi wabongo mdada akiwa na wowowo anaona ndo kamaliza maisha hata kama alikua anasoma akishaona wowow lake linasifiwa basi na shule anaacha anawekeza kwenye wowowo sasa.
 
Back
Top Bottom