Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26066408_157977494833826_965345009886822400_n.jpg
 
Hahahahahaha lol! umeona eh! hutaki hata la kuvaa weye? La kuvaa nimewahi kuyaona madukani kwenye magazeti na yametengenezwa vizuri sana kila size. Wengine huyanunua ili nguo ziwapendeze lakini si kwa kuwavutia njemba na wowowo za haja.
Mie langu linatosha kabisa kuvalia nguo na kiuno kikaonekana. Wasonayo wavae tu hizo vitu vya kuweka shape maana shape nzuri inavutia.
 
Hongera zako lakini ungekuwa huna wala nisingekushauri ufanye plastic surgery, kudungwa sindano au kupaka dawa ya mchina. Unaweza kujiingiza kwenye matatizo ukabaki na majuto mjukuu.

Nisingefanya yote hayo ila ningekua naumia nikiona wenye nayo. Ningevaa tu vitu vya kuweka shape hayo mengine sitaki kujuta baadae.
Sema na sisi wabongo mdada akiwa na wowowo anaona ndo kamaliza maisha hata kama alikua anasoma akishaona wowow lake linasifiwa basi na shule anaacha anawekeza kwenye wowowo sasa.
 
Back
Top Bottom