[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wazungu nao wanapenda wowowo maana kutwa kufanya plastic surgery washindane na sisi
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wazungu nao wanapenda wowowo maana kutwa kufanya plastic surgery washindane na sisi
Mbona kama makalio ndo yanazidi kuongezeka sasa hata huku kwetu? Yani ukitoka unashangaa kila mdada unaekutana nae ana wowowo.Imeshakuwa fashion duniani kote sasa hivi hata wachina na wakorea nao wanataka kuwa na wowowo, lakini zote tisa kumi WOWOWO ORIGINAL ila siku hizi makalio kama haya yanazidi kuwa adimu hata Tanzania.
Mbona kama makalio ndo yanazidi kuongezeka sasa hata huku kwetu? Yani ukitoka unashangaa kila mdada unaekutana nae ana wowowo.
Hivi ni kweli mchina anakuza wowowo? Nachojua wengi wanavaa skin tight za shape. Ukimuona nje ana shape mashallah sasa msubiri aingie ndani flat screen hii hapa.Hilo ni ukweli lakini siku hizi hujui lipi ni original na lipi ni fake au la kubandika. Tanzania haya makalio fake yameanza miaka michache iliyopita kabla kila WOWOWO unaloliona lilikuwa ni original.
Hivi ni kweli mchina anakuza wowowo? Nachojua wengi wanavaa skin tight za shape. Ukimuona nje ana shape mashallah sasa msubiri aingie ndani flat screen hii hapa.
Kumbe wowowo linasababisha tutongozwe pia? Namshukuru Mungu kukosa stream ya wowowo. Sema wowowo lizuri hasa kwenye nguoHilo hata mimi sijathibitisha kusema kweli. Ila niliwahi kusoma gazeti moja ambalo liliandika mdada wa kibongo alidai kwamba ili kuvutia wanaume wengi wamtongoze inabidi awe na makalio makubwa kwa sababu yeye alikuwa hatongozwi kama wale wenye wowowo za haja. Akaenda Kariakoo kununua dawa ya kichina na kuanza kujisiliba mara mbili kwa siku kwenye makalio. Akaanza kuona yanafutuka, lakini yakasababisha awe mzito kutembea na akitembea umbali mdogo anachoka inabidi apumzike hivyo akaogopa kuendelea kupaka lakini yalikuwa yanazidi kuongezeka. Tatizo kuna magazeti fake nayo yanaweza kuandika story kama hii ili wauze kwa wingi.
Kumbe wowowo linasababisha tutongozwe pia? Namshukuru Mungu kukosa stream ya wowowo. Sema wowowo lizuri hasa kwenye nguo