Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh! hiyo ya kupunguza tumbo nayo ni ngumu kama ni kupitia tummy operation maana unaweza kupungua kilo chungu nzima mpaka ukajichukia. Nenepa nenepa na wewe.

Yani vitu mvurugiko tu duniani. Sisi a tuwe kama wao na wao wananenepa makalio wawe kama sisi. Mi ndo mana nimeridhika na hapa nilipo. Maana role models wetu nao wanatuangalia sisi. Mi nachoweza kujaribu kufanya ni kupunguza tumbo tu. Sema nayo ndo yale yale ukipunguza kuanza kubadilisha tena jinsi ya kula ntashindwa.
 
LOL! Kakijiji haka hata haki ya kuwa kijiji hawana.

93de13286884d549413d9e7a606a6cf5.jpg
 
Ndiyo nasema kupunguza tumbo kama kwa operation husababisha kupoteza kilo chungu nzima hata mwenyewe ukajichukia na kutamani uongeze japo kilo chache tu lakini jitihada za kuongeza hizo kilo chache zisifanikiwe. Kupunguza tumbo inawezekana kabisa kwa mazoezi, mara tatu kwa wiki au zaidi hii ni bora zaidi.

Mi mnene mkuu. Sema unene wangu haunisumbui hata tumbo tu ndo linanipa mawazo.
 
Ndiyo nasema kupunguza tumbo kama kwa operation husababisha kupoteza kilo chungu nzima hata mwenyewe ukajichukia na kutamani uongeze japo kilo chache tu lakini jitihada za kuongeza hizo kilo chache zisifanikiwe. Kupunguza tumbo inawezekana kabisa kwa mazoezi, mara tatu kwa wiki au zaidi hii ni bora zaidi.
Mazoezi kufanya ni issue. Na vyakula navyo ni jambo lingine. Litapungua tu kwa rehma za mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom