Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAHAMU KUHUSU KUVIMBA KWA BANDAMA(Splenomegaly)

Maambukizi na magonjwa mengi kwa muda mrefu husabisha kuvimba kwa bandama(spleen) ambayo iko kushoto mwa tumbo na hivyo kuharibu utendaji wake wa kazi kama kuondoa vimelea kwenye damu,
 
kutengeneza kinga ya mwili, kuondoa chembe nyekundu zisizo na matumizi mwilini. Ugonjwa huu usababishwa na maambukizi ya virusi, vimelea, bakteria, saratani ya damu, presha, magonjwa ya moyo, ugonjwa sugu wa ini, homa ya ini, upungufu wa damu n.k.
 
MATIBABU.
Baada ya kufanyiwa uchunguzi na vipimo vya utrasound, MRI au vipimo vya damu na kugundua uwepo wa tatizo ili mara nyini tiba yake huwa ni upasuaji na dawa au chanjo za kupunguza au kujikinga na maambukizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…