mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mwaka mpya mambo ya zamani
Du miaka mingapiMahakama moja ya Thailand imemuhukumu tapeli mmoja zaidi ya kifungo cha miaka 13,000 jela.
Pudit Kittithradilok ,34, alikiri kumiliki mradi mmoja wa piramidi ambao aliwaahiidi wawekezaji kupata mapato ya hali ya juu.
Takriban watu 40,000 walikubali kuwekeza kiwango cha $160m katika kampuni yake.
Umri wa kuishi wenyewe Siku hizi 70 -80Mahakama ilisema kuwa alijihusisha na vitendo vya kutoa mikopo na makosa 2,653 ya udanganyifu.
Baada ya kukiri ,mahakam hiyo ilipunguza hukumu hiyo na kumpatia kifungo cha miaka 6,637 na miezi sita.
Huenda asihudumu zaidi ya miaka 20 kwa kuwa sheria ya Thai inatoa miaka 10 kwa makosa mawili aliyopatikana nayo.
Kama kawaida kama kawaNawatakia Mwaka Mpya mwema......Tuendelee kupeana Likes. ....
Kama kawaida kama kawaNawatakia Mwaka Mpya mwema......Tuendelee kupeana Likes. ....
Kama kawaida kama kawaNawatakia Mwaka Mpya mwema......Tuendelee kupeana Likes. ....
Wewe nawe utoe likesNa mimi Nipeni likes basi hapa [emoji51][emoji51]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Umeiona tayari?Wewe nawe utoe likes
Mtoto bhangi kabisa
Hahahahaha
YajayoMasaa machache
18:5515:34
Mwaka unaelekea ukingoniSiku na mwaka unaelekea ukingoni
Upendo uendeleeAmani iendelee
AMUN RAUmoja wetu udumu
Na kwako pia Numbisa