[emoji23][emoji23][emoji23]ukichimama nchale,ukitembea nchale[emoji23][emoji23][emoji23]... Basi itakuwa, uchichimung’unye wala uchichiteme njomba! [emoji1][emoji1] ukikimbia ntakuchoma nchale!
Mzigua mwenyewe... umeona ee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hii komesha
Basi nimetuliaDuh kausha basi hahaha
Nawe pia mkuuNawatakia nyote kila la heri na baraka katika mwaka mpya wa 2018. Nawatakia afya njema, furaha tele, maisha marefu, mafanikio makubwa katika maisha yenu na upendo wa hali ya juu katika mwaka mpya na miaka yote iliyo mbele yetu.
Hujambo bintime hizo "you know" Zenu huwa hazipandi,naongeaga kimakonde[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo[emoji120]sijui weweHujambo binti
Hao sio fisi kweli!!
Hahaha hahaha
Nawe pia mkuu
Na iwe hivyo kwako pia BAK
Kuna mtu anatakiwa kutubu hapaKAKOBE AWAJIBU T.R.A.
"Wokovu unaitwa ni utajiri usiopimika. Sasa usije ukayatafsiri kama upendavyo"
Waefeso. 3:5-8
"Tafuta mradi wowote wa Kakobe Tanzania nzima, na ukiupata, nitakupa zawadi hadharani."
"Kwa maana hiyo sasa,Tafuta kodi kwingine."
"Fedha yoote ya Tanzania, ya Marekani, China, huwezi kununua tiketi moja ya Mbinguni. Na ndio maana ukiwa umeokoka, unakuwa na utajiri usiopimika."
"Na ndio maana ninapiga kelele, kwamba mimi ni Tajiri kuliko serikali ya Magufuli."
"Fedha zoote ni mali ya Bwana na mimi ni mrithi wa mali hiyo" hagai 2:8
"Na ndio maana ukisikia kitu kinatoka madhabahuni, tulia kidogo kwanza, na fanya mahesabu kabla hujamkabili Kakobe..."
Ibada inaenelea...na bado mkesha...
Mzima kabisa happy new yearSijambo[emoji120]sijui wewe
AMUN RAShukrani sana Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Na yeye anafaidi banaNumbisa Mungu anakuona. Ndio nini kumtundika Babu na pipi kijiti, anaramba! [emoji23]