mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ISIS
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Asante na weweAsante kwa UA waridi
bila kufuata ushauri wa daktari ni ishara tosha ya kumfanya mgonjwa kumuona daktari kumpima na kumfanyia uchunguzi ili kujiridhisha kuwa hana tatizo la vidonda vya tumbo.
Bibi harusi mtarajiwa huyoNani tena wolper
Mimi bukheri wa afya sijui weweBeef Lasagna hujambo dada
Nawatakia nyote kila la heri na baraka katika mwaka mpya wa 2018. Nawatakia afya njema, furaha tele, maisha marefu, mafanikio makubwa katika maisha yenu na upendo wa hali ya juu katika mwaka mpya na miaka yote iliyo mbele yetu.