moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji106] [emoji106] [emoji106]
Umejitahidi kweli kutobadilisha avatar. Kwa kasi uliyokuwa nayo ya kubadilisha badilisha nilikuwa siamini.
Hahahahaha huo ni ujinga plusNisingefanya yote hayo ila ningekua naumia nikiona wenye nayo. Ningevaa tu vitu vya kuweka shape hayo mengine sitaki kujuta baadae.
Sema na sisi wabongo mdada akiwa na wowowo anaona ndo kamaliza maisha hata kama alikua anasoma akishaona wowow lake linasifiwa basi na shule anaacha anawekeza kwenye wowowo sasa.
Mchina mweusi kwa naye amepotea sanaTeam popo wapi ho chi minh
Kwanini?Mzigua unazingua
HARUFU, Bob12, CleverKing tumewamiss sanaHARUFU kapotea kweli
Huyu alikwenda Mogadishu sijui kama yuko salamaTeam popo, wapi Bob12
Inaitwa nipe nikupe aya sasa ngoja nianzeGonga likes upewe likes
Mkuu mkuu nipo nipo tunaingia na kutoka si unajua majukumuTeam popo wapi mzee wa liver
Nabii wa likesTeam popo wapi jembekillo
Mzee wa badoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Team Popo wapi Alibakari
Dunia ni vurugu mechi tuKuvaa ni bora mara milioni. Kuna mdada mmoja nadhani ni mzungu jina limenitoka ni mcheza sinema maarufu sana ila siku hizi hasikiki kabisa. Alikuwa mzuri wa haja basi akataka awe na lips za midomo kama za Waafrika hivyo akaenda kufanya hiyo plastic surgery ya lips. Basi ikatoka vibaya. Rekebisha rekebisa na wewe basi uzuri wote ukapotea ila pamoja na yeye kukutwa na hilo janga lakini wengi badi hawaogopi wanataka lips kama za Waafrika! Waafrika wanataka kuwa Wazungu na Wazungu wanataka kuwa Waafrika! Dunia mambo mpwito mpwito.
AminCha msingi tumshukuru mungu kwa kumaliza mwaka salama, pia tumuombe Mungu atujaaliye mwaka ujuo tuuvuke salama. INSHAALLAH
[emoji106]Team popo kila la kheri tuuone mwaka mpya
Asante kwa UA waridi
Uzi bomba ndani ya jf mwaka huuTeam popo hivi mnajua kuwa nyinyi mmetia fora sana mwaka huu 2017 unaomalizika kwa uzi wenu wa kibabe?
AMUN RAMazoezi kufanya ni issue. Na vyakula navyo ni jambo lingine. Litapungua tu kwa rehma za mwenyezi Mungu.
Nywele za kichwani mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] za wapi