Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo Marekani (American Heart Association) unaonyesha kuwa mboga za majani na matunda ni kinga sahihi ya kumwondoa binadamu kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa kupooza.
 
c06d73801b2b562d420cfe8f626003e5.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inaweza kuonekana ni kitu cha ajabu lakini ndiyo ukweli ulaji wa matunda na mboga za majani ni kinga ya asili ambayo inaweza kumwondoa binadamu katika hatari ya kupooza,” alisema Dk John Baden.
 
Utafiti huo unaenda sanjari na ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo inaeleza kuwa ulaji wa matunda na mboga za majani unaweza kupunguza kasi ya ugonjwa huo kwa asilimia 19.
 
Back
Top Bottom