mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Haya maneno amwambie baba jeska
Haya maneno amwambie baba jeska
Mimi niko poaSijambo habari ya wewe
Pole Numbisa Na timu yakoMkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa dau la £300m alilotumia kuimarisha kikosi chake halitoshi baada ya timu yake kutoka sare ya 2-2 na klabu ya Burnley siku ya Jumanne.
Jesse Lingard alifunga katika dakika za lala salama kusawazisha, na sasa sare hiyo inaiwacha Man United ikiwa pointi 12 nyuma ya viongozi wa ligi ManCity.
Pole Numbisa Na timu yako
Happy new in advanceMimi niko poa
Naona city anateseka hapa balaaaHahahha asante
Thanks.....you too!Happy new in advance
Wafungwe tu nimcheke YegomasikaNaona city anateseka hapa balaaa
Mkuu habari za leo
SalammmmmSalaam Tanzania
Kweli mkuu habari yakoThe Struggle for existence and the survival of the fittest...
Ni ama unakula au unaliwa. Ndivyo dunia hii ilivyo...
Wezi wakubwa sana hawaChaneli zinazotakiwa kuonekana bila kulipiwa ni TBC1, ITV, EATV, Channel Ten, Star TV na Clouds TV. Kampuni hiyo imetozwa faini kuanzia Desemba 22 na inatakiwa kuwa imelipa kabla ya Januari 30.