moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na kwako pia mpendwa
Na kwako pia mpendwa
Hahahaha unaonea wasukuma. Dogo mvumbuzi,anaiba soda kwenye gari lililopaki mtaan kwaoDogo Msukuma ama?
Tunashuru mwanauzi
Kila la kheri dada mpendwa
Mkuu njoo Kanda ya kati Dodoma hapa wowowo za kufa mtu acha kabisaImeshakuwa fashion duniani kote sasa hivi hata wachina na wakorea nao wanataka kuwa na wowowo, lakini zote tisa kumi WOWOWO ORIGINAL ila siku hizi makalio kama haya yanazidi kuwa adimu hata Tanzania.
Tupo hapa, hutuoni jamaniNawamisi jameni.
Wapi mkuu kwenuMbona kama makalio ndo yanazidi kuongezeka sasa hata huku kwetu? Yani ukitoka unashangaa kila mdada unaekutana nae ana wowowo.
Kadogo dogo kazuri sana
Njema mzee wa liver, habari yako kiongoziHabari za Jumapili
Naunga mkono hoja. Huwa zinaudhi sana. Unakuta meseji nzuri halafu mwishoni imefungashwa vitisho na masharti mbuzi kibao !!!
Pouwa mkuuHope wote mko poa
Umepotea mkuuMiss you sana
AminTumshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kumaliza mwaka salama salimini